JE..Kutembea na Binti Chini ya Miaka 18 Aliyekwisha Zaa ni Kosa Kisheria?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Nilitaka kujua ikiwa unafanya mapenzi na binti aliye chini ya umri wa miaka 18 kwa hiyari yake na tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au La, na kama ni kosa adhabu ni ipi?. Pia kama si kosa je hawa mabinti baada ya kuzaa chini ya miaka 18 serikali imewaachia uhuru kuendelea na mambo ya kiutu uzima kama kufanya ngono bila kufuatiliwa na sheria ya ubakaji.

Karibuni Wadau Wenye Uelewa wa Sheria
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad