Lulu Diva Anatembea na Roho ya Wema, Mazito Yaibuka!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


UKISIKIA ushoga umepamba moto, basi ni huu wa staa mwenye jina kubwa Bongo, Wema Sepetu na mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ambapo Wema anasema shosti yake huyo ‘ameibeba roho yake’ hivyo akiibwaga amekwisha.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Wema ambaye siku hizi anatamba na kipindi cha ‘Cook With Wema Sepetu’, alisema Lulu amekuwa mtu wake wa karibu sana kwa hivi sasa, hivyo asingependa kumpoteza.

“Unajua hakuna kitu chenye raha kama umepata rafiki anayekupenda na kukujali mpaka moyo wako unakubali, kwa upande wangu kama kutekwa, nimetekwa mzimamzima, yaani nampemda kufa,” alisema Wema huku akiangua cheko kama lote.

STORI NA IMELDA MTEMA, GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad