AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mchekeshaji na muigizaji, Steve Nyerere ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM, ambalo kwa sasa lipo chini ya Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA anayegombea Urais.
Steve ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2020, ambapo amsema yeye ndiye atakuwa mbunge mfupi na machachari kuliko wote huku akibainisha vitisho anavyo vipata.
“Mimi ndiyo Mbunge wa Iringa labda itokee niseme sitaki, nakwenda kurudisha jimbo letu, nawashukuru wanaonitukana na kunitishia kuniua maana wanazidi kunipa nguvu” amesema Steve Nyerere…Bofya hapa kutazama
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
umetisha mh mtarajiwa Steve Nyerere, Jimbo liko wazi.
ReplyDeletelinahitaji kijana mahiri na Mchapa kazi kama wewe.
Karibu sana, endelea Kijikoki KONKI ili utuondoshe Vibeko wote walio HAI na Sugu.
Karibu sana katika uwakilishi wa Wananchi Wazalendo.
Wanaojaribu kuficha kushinda na Kukimbilia Urahisi si Raisi hivyo