DIAMOND: P Square walitutesa sana jukwaani lakini sasa hivi zamu yetu Tanzania, wao wanatutazama sisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz amesema kuwa likija katika suala la Performance Tanzania sasa hivi ndio nambari moja ila zamani wasanii kutoka Nigeria walitesa sana.

Akiongea hayo amewayolea mfano wasanii kama P SQUARE na kusema walikuwa ndio watu wanawaangalia katika performance kuwa ndio walikuwa wanaongoza lakini siku za hivi karibuni Tanzania ikmekuwa kinara jukwaani.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad