Mtoto wa Kike wa Nelson Mandela Aaga Dunia Alikuwa ni Balozi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Zindzi Mandela, mwana wa rais wa zamani wa Afrika Nelson Mandela na Winnie Madikizela - Mandela, amefariki kulingana na chombo cha habari cha taifa hilo SABC.

Zindzi amefariki mjini Johannesburg mapema Jumatatu akiwa na umri wa miaka 59.

Kifo chake kimethibitishwa na chanzo kimoja cha familia, kimesema chombo cha habari cha SABC, Chanzo cha kifo chake bado hakijatajwa

Alikuwa balozi wa Afrika Kusini nchini Denmark. Amewaacha nyuma watoto wanne na mumewe
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad