"Unaweza Ata Olewa na Mbakaji" Zari Hassan Awashauri Wanawake Wanaojihusisha Kwenye Mahusiano ya Haraka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanabiashara Zari Hassan amewaita na kuwashauri wanawake ambao wanachukulia uhusiano rahisi katika maisha yao hii ni baada ya kupatana na wapenzi wao kwenye mitandao ya kijamii.

Zari aliwaambia wanawake wawe waangalifu endapo wanataka kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi.


Si mmoja wala wawili hupatana kwenye mitandao ya kijamii na kisha kuanza uhusiano wao mwishowe wanajipata kwenye dhuluma za nyumbani.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii alikuwa na haya ya kusema;

“Nowadays you meet once and he starts to like you. The second day he slides in your DM , the third day you give him your number, the fourth day you’re in his house and on the seventh day you move in. Aaa from DM to bedrooms. You might be moving in with a serial rapist, a murderer… you just met via DM and you’re already dating.”

Mashabiki wake walidai kuwa ujumbe wake alikuwa ameuandikia Tanasha ambaye alipata ujauzito miezi mitatu baada ya kupatana na msanii Diamond.

 Awali kwenye mahojiano Tanasha alisema kuwa Diamond alimtumia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii na hapo ndipo walijuana zaidi.

“He slide into my DM, we started talking. We exchanged numbers, I was single and he was too. So I went to Tanzania, He invited me as a friend. He was doing Wasafi festival. Things happened quick and when we were in Mtara thats where the chemistry started.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad