Wakili Afunguka Kifungo Ambacho UCHEBE Anaweza Kufungwa Ikiwa Atakutwa na Hatia ya Kumtwanga Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Bahati mbaya hatuna sheria maalumu ya ukatili wa majumbani au kijinsia, lakini kwa kosa alilolifanya kwenye kifungu cha 225 cha sheria ya kanuni ya adhabu anaweza akahukumiwa mpaka miaka 7" - Wakili Getrude Dyabene, Mkuu wa Dawati la Jinsia @humanrightstz

"Ni ujasiri mkubwa kwa mtu mwenye jina kusimama na kusema, sababu wengi tunaona ni aibu kutambulika kama tunapigwa, na wanawake wengi hawasemi kwa sababu ukisema watu wanaanza kukuhukumu kwamba imekuwaje mpaka mume wako akupige" - Getrude Dyabene @humanrightstz
Kwa mujibu wa taarifa tuliyoitoa kuna zaidi ya kesi elfu 80 za matukio ya ukatili ambazo zimeripotiwa na matukio kama ya Shilole hayakuwepo kwa sababu hakusema na ni matukio yanayofanyika ndani" - Wakili Getrude Dyabene, Mkuu wa Dawati la Jinsia @humanrightstz

Jamii imemuweka mwanamke ana wajibu mkubwa wa kupigania ndoa au mahusiano yasimame, hivyo kuendelea kusimamia imani hiyo ndiyo imefanya wanaume waamini wana mamlaka ya kufanya chochote kwa mwanamke" - Getrude Dyabene, Mkuu wa Dawati la Jinsia @humanrightstz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad