Fatma Karume Amlipua Msajili wa Vyama Vya Siasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Aliyekuwa Rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) Fatma Karume amemtaka msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi kutaja kifungu cha sheria kilichovunjwa na wanachama wa chama CHADEMA.

Fatma amesema hayo kupitia ujumbe wake alituma kwenye ukurasa wake twitter na kutaka kutoa ufafanuzi ili wanachama wa chama hicho kujua kosa lao.

“Francis ni mwanasheria angeanza kwa kutaja ibara ya Katiba iliyovunjwa na kipengele cha sheria kilichovunjwa ili wananchi waelewa” Ameandika Karume.

Mapema leo Agosti 4, 2020 msajili huyo wa vyama vya siasa alituma onyo kwa chama cha CHADEMA juu ya kitendo chao cha kuongeza beti kwenye wimbo wa Taifa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad