Mchungaji Maarufu Afumaniwa Akimla Kondoo wake, Apewa Adadu ya Mwaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchungaji huyo alikuwa akitembea nyumba hadi nyumba kuwaombea waumini wake

Alikuwa mchungaji wa kanisa la ‘Tabernacle of blessings ministries’

Mumewe mwanadada huyo alifika nyumbani ghafla na kumpata mkewe akipokezwa mabusu na pasta huyo

Mchungaji mmoja maarufu aliyejulikana kwa jina Petero ama ‘Dad’ amejipata pabaya baada ya ibada yake kumuingiza katika biashara chafu.

Petero, mchungaji maarufu wa runinga ambaye pia ni kiongozi wa kanisa ‘Tabernacle of Blessings ministries’ mjini Nyeri alinusurika kifo baada ya kunaswa akimfyonza asali mke wa muumini wake.

Katika kisa hico kilichofanyika Jumatatu, Agosti 3, inadaiwa kuwa mchungaji huyo alikuwa amebuni maombi ya nyumba hadi nyumba akiwatembelea waumini yake kuwafanyia ibada kufuatia kanuni ya kufungwa makanisa tangu kulipuka kwa virusi vya corona.

Petero alimtembelea mwanamke huyo lakini maombi yakageuka asali na wakaanza kuvyonzana huku wakipokezana mabusu.

Mumewe mama huyu alifika nyumbani ghafla bila kutarajiwa na kushangaa kumpata mchungaji nyumbani kwa akiwa na mkewe katika hali tatanishi.

Bwana huyo alianza kumvamia mchungaji huku akipiga kamsa, wenyeji walifika upesi, baadhi wakimwagia hasira wakidai huenda alikuwa amewala wake zao vile vile.

Nyeri man severely injures son for allegedly stealing Sh50

Mchungaji huyo alifikishwa katika hospitali ya Nyeri Kupata matibabu. Picha:Hisani

Maafisa wa polisi walifika eneo la kisa upesi na kumuokoa pasta huyo ambaye alikuwa katika hali mbaya kutokana na mapigo. Baadaye alipelekwa katika hospitali ya Nyeri Level 4 anakoendelea kupata matibabu.

Visa vya wachungaji kuwala kondoo wao vimezidi, wengi wakidai kuwa wengi wa wahubri hao hufungua makanisa kama kitega uchumi na wala si wito wa Mungu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad