Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREHuyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake ya Cinderella leo


Ni 2021 nasikiliza recent release yake inaitwa "Ndombolo ". Aisee nasema ukweli huyu mwamba ni zawadi acha tuenjoi mziki mzuri, najua wapo wanaomchukia lakini naamini wengi ni masuala personal ambayo hayawezi kuangazia kipaji cha kuimba mziki.


Sitaki kuamini mtu yeyote mwenye akili timamu anayependa muziki akanambia hapendi uimbaji wa uyu mwamba, huyo atakua mchawi.

Post a Comment

0 Comments