Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kwanini Diamond Platnumz Anavaa Msalaba Wakati ni Mwislamu?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?


Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA

Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA

Nafasi za Internships Bonyeza HAPA

Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.

Post a Comment

0 Comments