Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha Mghwira

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa familia ndugu jamaa na marafiki kuafuatia kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira kilichotokea leo Julai 22, katika hospital ya Rufa ya Mount Meru mkoani Arusha alipokuwa anapatiwa matibabu.

Rais amesema amepokea taarifa za kifo cha Anna Mghwira kwa majonzi na masikitiko makubwa hasa akikumbuka mchango alioutoa katika ujenzi wa taifa.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments