Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Waziri Ummy afafanua matumizi ya Bil. 600 za Tozo anazokatwa Mwananchi
Serikali kupitia Ofisi ya Rais imetolea ufafanuzi wa fedha zaidi ya inayotozwa kwenye mitandao ya simu inavyokwenda kutekeleza miradi ya maendeleo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI

Amesema Fedha hizo zinakwenda kutekeleza miradi ya Elimu,Afya ya Msingi na Miundombinu ya barabara Waziri Ummy amesema shilingi Billion 125 zinatarajia kukamilisha maboma 10,000 ya shule za msingi na Sekondari,Billioni 200 kukamilisha maboma ya zahanati 900 pamoja na vifaa tiba na Billioni 322 ujenzi wa barabara na madaraja.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments