Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Bilionea GSM Afanikiwa Kuwanyamazisha Simba


Ushindi wa bao 1-0 wa Yanga dhidi ya Simba na kutwaa Ngao ya Jamii ni ishara kuwa Bilionea wa Yanga Ghalib Said Mohamed sasa amekarika na kuamua kuwanyamazisha Simba.

Kitendo cha kuwakodia Yanga ndege na kwenda Nigeria na kuwasubiri katika mchezo wake dhidi ya Rivers wa Klabu Bingwa Afrika kimetafsiriwa kuwa safari hii GSM ameamua haswa.

Ushindi wa leo umedhihirisha hilo kuwa sasa GSM hataki mchezo na msimu huu ni msimu wa mataji kwa Yanga.

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments