Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Bomoabomoa Vibanda vya Wamachinga VingungutiDar es Salaam. Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amebeba maboksi kufuatia kubomolewa kwa vibanda vya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam.
Kazi ya kubomoa vibanda imefanyika usiku wa kuamkia leo.

Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amebeba maboksi kufuatia kubomolewa kwa vibanda vya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam. Na Mpigapicha Wetu

Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga wakikusanya mabaki ya mbao baada ya vibanda vyao vya kufanyia kazi kubomolewa katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo. Na Mpigapicha Wetu

Jana Jumatano Septemba 22, 2021 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametumia ziara yake ya jimbo kwa jimbo mkoani humo kutoa elimu kwa wamachinga waofanya biashara zao katika maeneo yasiyo rasmi na kuhamia maeneo yaliyo rasmi.


Makalla amefanya hivyo ikiwa imepita siku tano tangu mkoa huo uzindue mwongozo wa kuwapanga wafanyabiashara hao.

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments