Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kajala Masanja Aendelea Kuonesha Support Kwa Mkwe Wake Rayvanny


Mama mzazi wa mpenzi wa Rayvanny, Kajala, ameendelea kuonesha support kubwa kwa mkwe wake, Rayvanny, mara baada ya Rayvanny Kumtambulisha macvoice, msanii wa kwanza katika lebo yake, Next Level Music.

Kajala amempost macvoice na kusindikiza na caption "All the best @macvoice_tz 24/09/202 🔥 NLM FIRST BORN @rayvanny @nextlevelmusic_tz"

Hii ni support kubwa sana na inaonesha kajala amebariki mahusiano ya paula na Rayvanny.

VIPI KWA UPANDE WAKO, MAMA AU BABA MKWE WAKO ANAKUSUPPORT KWENYE MISHE ZAKO? DONDOSHA COMMENT YAKO.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments