Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mwimbaji Derulo Atangaza Kuachana na Mama Mtoto Wake Jena Frumes.


Ikiwa ni miezi minne tu imepita toka wapate mtoto wa kiume, JAson Derulo ametangaza kuachana na mama mtoto wake Jena Frumes.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jason ametoa taarifa hiyo huku akisisitiza kuwa ni maamuzi yao wawili na hawahitaji kuingiliakwa sasa. Jason ameandika Mimi na Jena tumeamua kuachana. Jena ni mama bora lakini tumona kwamba tukitengena itatufanya tuwe watu bora zaidi"

Wawili hao walianzisha mahusiano yao mnamo march 2020 na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja ambaye mpaka sasa hawajaweka wazi sura ya mtoto huyo wa kiume

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments