Pele afunguka maendeleo ya afya yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Gwiji wa Soka wa Brazil, Pele (miaka 80) ameandika kwenye ukurasa wa Instagram kuwa anaendelea vizuri na anawashukuru wanafamilia wote kwa upendo wanaomuonesha na kumfanya kuwa mwenye kutabasamu kila siku.

Pele ameyasema hayo leo akiwa chumba cha uangalizi maalum 'ICU' kwenye Hospitali ya Sao Paulo Albert Einstein nchini Brazil kwa uangalizi zaidi baada ya kufanyiwa upasuaji 2a kuondoa uvimbe kwenye utumbo wake mkubwa siku chache zilizopita.


Pele amekuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo tokea Agosti 31 mwaka huu baada ya kugundilika pia ana shida ya upumuaji ambayo kwasasa imetibiwa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad