Rais Samia akutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali wa UN





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la biashara duniani (WTO) Bibi Ngozi Okonjo Iweala, walipokutana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021. PICHA NA IKULU.


 -Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass, walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad