Rapcha "P Fank Msamehe Paula Kajala"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Huenda Rapper kutoka BongoRecords Rapcha ametumia wimbo wake wa Lissa II’ kutoa nasaha kwa producer PFunkyMajani kumsamehe mtoto wake Paulah Kajala kufutia kutokua na maelewano mazuri katika siku za hivi karibuni.

Sasa ukisikiliza wimbo huo wa Lissa II’ kwenye dakika ya kwanza, kuanzia sekunde ya 33' mpaka ya 38’ rapcha anasikika akichana “mwambie father atalipwa na mola ,arudishe moyo nyuma amsamehe paula,”

Katika kipindi cha hivi karibuni producer PFunkyMajani alieleza kukasirishwa na tabia ya bintie huyo ambae ni kwa sasa ni mpenzi wa Mwanamuziki Rayvanny, kufutia kumtamkia maneno yasiyo mpendeza kama mzazi.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad