Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Shilole Apiga Mkwala Mkubwa "Nikuone Unashika Wanangu Majengo ya Serikali Yatakuhusu"Mama Ntilie maarufu hapa Tanzania pia ni mwanamuziki wa kike anayefanya vizuri katika BongoFleva @officialshilole katika kipindi cha "The Joint" (Dizzim Tv) amefunguka kwa uchungu namna alivyopambana kulea watoto wake na kusema hatokubali mtu yoyote kuchezea watoto wake kama mtu akithubutu atahakikisha wanagawana majengo ya serikali.Katika mazungumzo amefunguka haya:•

"Mtu atakayeniaharibia watoto wangu tutagawana mjengo ya serikali, utaenda jela na mimi nitanda mochuari kwa kweli.Nimekuwa single mother kwa miaka zaidi ya mitano, maisha niliyoyapitia mimi hawapaswi kuyapitia watoto wangu

Mimi ni mwanamke ambaye sipendi kuangaika na wanaume, nikiwa na mwanaume mmoja nakaa na huyo huyo na ndo maana hua napenda kumtambulisha wazi mtu ninaye mpenda"-Ameongea Shilole


 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments