Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

JE, Wajua Kuwa Love Bites Inaweza Kukuua?


Tarehe 19 Mwaka 2016, JULIO MARCIAS GONZALEZ aliyekuwa na umri wa miaka 17 alifariki dunia huko Mexico baada ya kupigwa "Love bite" na mpenzi wake.

Madaktari walisema kitendo hicho kilisababisha damu kusafiri mpaka katika ubongo na kumsababishia "stroke"

Tukio kama hilo lilitokea pia 2010 ambapo mwanamke mmoja aliripotiwa kufariki kwa sababu kama hiyo

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments