Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars imepokea kichapo Kutoka Namibia

 


Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars imepokea kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa Timu ya Taifa ya Namibia, Twiga Stars iliwaalika Namibia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa leo saa 10:00 jioni kwenye mtanange wa kuwania kufuzu AFCON 2022 kwa upande wa Wanawake.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments