Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kichapo Cha Simba Chamuumiza Babra Afunguka "Kamwe Usiwadharau Wapinzani"


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa C.E.O Wa Klabu Ya Simba Sc @bvrbvra Ameandika.........."Leo tumejifunza somo la maana: ‘Kamwe usiwadharau wapinzani wako hadi filimbi ya mwisho itakapopulizwa.’ Hakuna dhamana katika mpira wa miguu. Bado ninaamini tuna timu nzuri. Kuteleza si kuanguka. Tutarudi tukiwa na nguvu zaidi! 🦁 #NguvuMoja''


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments