Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, Kocha Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu nchini England


Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu nchini England.

Mwezi Septemba, Arteta ameshinda michezo mitatu, dhidi ya Norwich City, Burnely na mchezo wa mahasimu dhidi ya Tottenham Spurs wiki iliyopita.


 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments