Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Cristiano Ronaldo Mchezaji Bora wa Mwezi Ligi Kuu Uingereza


Mshambuliaji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza (EPL) kwa mwezi Septemba.

Mwezi Septemba, Ronaldo amefunga mabao matatu, katika michezo miwili, alifunga mabao mawili katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya Newcastle, na bao moja dhidi ya Westham. Man United ilishinda michezo hiyo.


 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments