Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mange Kimambi Asimulia Jinsi Alivyotumia Kiki ya Kifo cha Mwalimu Nyerere Mpaka Akapata Pumu


Ameandika Mangekimambi_ 

"Happy Nyerere day Tanzania.

Unakumbuka ulikuwa wapi siku Nyerere kafariki? Mimi nilikuwa shule ya secondary, Harare Zimbabwe. Basi ilikuwa headline news kwenye magazeti na TV za Zimbabwe, basi wanafunzi wa Kitanzania tukawa tunapewa pole na kila mtu mpaka assembly tukapewa pole na headmistress. Weeeee Mimi sasa nkaona nitembee na kiki, wiki nzima nilikuwa nahadithia Wazimbabwe story za Nyerere, zingine hata natia chumvi. Darasani nilipewa nafasi ya kumuelezea Nyerere historia yake. Yani mpaka nalia nikumuelezea. Haki nilitembea na kiki na huyu baba mpaka nilibanwa pumu kwa kulia na mawazo ya kufiwa, na huku sijawahi kuwa na pumu😩.

R.I.P the one and only Baba wa Taifa…."

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments