Haya Hapa Madai Kuwa Mandela alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu..Halisi Alifariki Mwaka 1985

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Inadaiwa Huyu Mandela aliyekuwa Rais wa #SouthAfrica kuanzia 1994 - 99 alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu.

Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo South.

Watu wanauliza Kwamba iweje #Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu akatoka na kuwasamehe Makaburu?

Iko hivi Wazungu huwa hawapendi Viongozi wa Kiafrika wenye Misimamo ndio maana hawakumpenda Mugabe, Gaddaf nk lakini walimpenda Mandela na Wanamsifu Mandela kama Kiongozi bora #Afrika wanampa sifa ata ambazo hapaswi kupewa.

Mandela halisi aliuawa Tarehe 8/5/ 1985 akiwa na miaka 67.

Baada ya hapo Makaburu wakamtengeza Mandela wao.

#Mandela alipoingia jela alikuwa na Kidoti upande wa kulia wa Pua lakini alipotoka alikuwa na Kidoti Upande wa Kushoto.

Baada ya Mandela kutoka Jela Winnie hakutaka kuendelea kuwa Kimapenzi na Mandela Feki maana Mchongo mzima aliujua kwa hiyo ikatengezwa Zengwe kimakubaliano kwamba amechepuka halafu Mandela akapata hasira akampa Taraka.

Mandela halisi alifungwa Jela baada ya kutaka kuingiza Askari Msituni ili kupambana kuwaondoa Makaburu South Africa hapo ndio Makaburu wakamdaka na Kumfunga yaani Mandela lengo lilikuwa kumuomdoa Mkaburu kwa Mtutu.

Lakini huyu Mandela Feki alivyotoka Jela akaja na Sera za Amani kupinga Ubaguzi kwamba Watu Weusi Wasiwabugue Makaburu na Makaburu Wasiwabague Weusi baada ya Hapo Wazungu wakamkabidhi Tuzo ya Amani ya Nobel.

Akapewa Uraisi wa South Africa. Wazungu wakampa Sifa Duniani kote kuwa ni Kiongozi bora Afrika na mpaka leo huyu Mandela kibaraka wao Duniani kote anatambulika kama hero wa Africa.

Jiulize Mandela alikuwa Kiongozi bora Afrika kwa lipi? Kwa kuipatia Uhuru South Africa au kisa kukaa jela kwa kile wanachodai miaka 27??

#Nyerere amezisaidia nchi zaidi ya 10 kupata Uhuru lkn haheshimiki lakin Mandela wao Feki anaheshimika kisa kuhubiri Wazungu kutobaguliwa wakija Afrika lkn si tukienda kwao tunabaguliwa.

Huyo Mandela Feki jina lake halisi ni Gibson Makanda.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad