Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mfungwa Adungwa Sindano ya Kifo MarekaniJimbo la Marekani la Oklahoma limetekeleza adhabu ya kifo kwa kumdunga sindano ya sumu iliyomuua mfungwa mara ya kwanza baada ya miaka sita tangu adhabu hiyo ilipotekelezwa mara ya mwisho.

Walioshuhudia tukio hilo wanasema John Grant – mwanaume aliyekuwa na umri wa miaka 60, alionekana akitetemeka na kutapika baada ya kudungwa sindano hiyo.

Hukumu hiyo ya kifo ni ya kwazna katika Oklahoma tangu mipango ifanyike mipango ya jimbo hilo kusitisha adhabu ya kifo.

Mawakili wa Grant wanadai kuwa matumizi ya sindano za mid-zolam ni adhabu isiyo ya kawaida, inayokiuka haki zake za kikatiba

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments