Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Shilole "Ali Kiba Atanikoma Mimi Sina Shughuli Ndogo Kamshindwa Diamond Mimi Nitammaliza Viba"


Ali Kiba Asijifananishe na Mimi Kabisa !, Kama Amemshindwa Diamond Platnumz Anataka Kuja Kugombana Na Watoto Wakike Huku Sasa Mimi Ndio Nitammaliza Kabisa, Maana Mimi Sina Shughuli Ndogo" Ameongea Shishi

Shilole Amesema Hayo Muda Huu Akiwa Kwenye Interview Na #MashamSham Ya @wasafifmc

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments