Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Miquissone “Simba ilinipa jina kubwa katika soka Afrika"


“Simba ilinipa jina kubwa katika soka Afrika, hapo kabla sikucheza hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika nimefanya hivyo nikiwa na Simba, ni heshima kubwa kwa mchezaji yeyote mwenye kiu ya mafanikio”

🗣“Simba Sc ilinilea vyema na ninaamini ipo siku nitarejea kama itakuwa sehemu ya mipango ya Mungu” Source: (AlAhlyEgypt.Com)


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments