Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Hoteli ya Villa de Coco Yaungua Kwa Moto, Zanzibar

Hoteli ya Villa de Coco iliyopo Jambiani, Zanzibar imeungua kwa moto usiku wa kuamkia hii leo Novemba 20, 2021, na taarifa zinaeleza kwamba moto huo umeendelea kuunguza Cobe Hoteli na ukainga Fun Beach na sasa umefika maeneo ya barabarani kwa sababu ya upepo

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments