Mange Kimambi Aruka Ruka Kwa Furaha Baada ya Kupata Passport "Nyie Haki imerudi Tanzania"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mange Kimambi Ameandika Haya kupitia Ukurasa wake wa Instagram

"Nyie amkeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,

Serikali ya haki, serikali ya demokrasia, serikali ya Mama Samia imenipa passport yangu ambayo ni haki yangu kama Mtanzania ila haki hii nilinyimwa chini ya serikali ya kidikteta. Kwa muda wa miaka 3 niliishi bila passport. Sijatoa mguu marekani kwa miaka 5…

Safari ya kwanza itakuwa kwa mama yangu @mwelentuli . I’m coming mama.

Aisee jina langu lilikuwa blacklisted huko immigration. Ahsanteni wooote mliofanya juhudi mpaka nipata passport. Najua msingependa niwataje ila naomba mjue nawashukuru sana. Kwako Waziri wa mambo ya ndani, Simbachawene, Ahsante maana nilijua kukusumbua😩

HABARI KAMA  HIZI UNAZIPATA KUTOKA APP YA UDAKU SPECIAL PEKEE  DOWNLOAD  HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Nyie haki imerudi Tanzania. Mjue mimi nilisha give up kuhusu kupewa passport. Dah, yani nna furaha leo utasema nna passport ya nchi gani sijui 🤣🤣🤣🤣..

Tanzania nakupenda kwa moyo woooote.

Uwiiii jamani leo natoa yooooote 🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️" Mange Kimambi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad