Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mange Kimambi Atangaza Mshindi Aliyeshinda Kutengeneza Logo ya App yake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Basi jamani mshindi kapatikana. Hiyo logo ya kwanza ndo imeshinda ila tunabadilisha rangi tutatumia rangi za hiyo logo ya pili. Logo #1 kashinda $200. 

Huyo mwenye logo ya pili ntampooza kwa $50 kwa kutumia rangi zake.

Jamani naomba msinitumie tena logo maana mnakuwa mninifanya naweweseka tu… hivi mnatujua Pisces jinsi tunajua kuchange minds all the time? Sisi kumake decision huwa ni mtihani kwa hiyo mnionee huruma. Msinionyeshe logo ingine yoyote. 

Ahsanteni wooote mlioshiriki.

Mlioingia 30 bora za hizi logo naomba unitumie logo yako uliyonifanyia weka na contacts hapo hapo kwenye logo then ntaposti kuwatangaza maana tayari nafatwa kuulizwa contacts zenu. Watu wananitumia logo nilizoposti wanauliza nani katengeneza hii? Alafu sasa nashindwa kutoa majibu maana sikumbuki ipi ni ya nani. Jamani nimesema waliongia ile kumi bora ya batch ya kwanza, ya pili na ya tatu tu, sio woote maana mko mamia sitaweza kuposti woote.  

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments