Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Tanzania yapigwa kwenye dimba la nyumbani

Tanzania imekutana na kipigo cha mabao 3 -0 kutoka kwa DR Congo kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

FT: Tanzania 0-3 DR Congo.

Sasa imebaki mechi moja dhidi ya Madagascar ugenini Jumapili hii.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments