Ticker

6/recent/ticker-posts


 

"Jack Cliff Unarudi Lini Bongo" Mashabiki Wauliza, Wengine Wamtaka Akae Huko Huko Macau China Bongo Jua Kali

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Leo ni mwezi mmoja kamili tangu mrembo Jacqueline Clifford aweke picha ya kwanza Instagram, miaka takriban nane baada ya kuwa amefungwa jela huko Macau, China.


Tangia hapo amekuwa akishare picha zikimuonesha akifurahia maisha ya uraiani na marafiki zake wa huko na haoneshi dalili za kuja Bongo hivi karibuni.


Kwahiyo, mashabiki wanahoji, waja lini?


“Watu wanauliza utakuja lini kama vile watakuja kukupokea Airport,” ameandika shabiki mmoja aitwaye Berther kwenye post mpya aliyoiweka Jumatano hii.


“If I were you nisingerudi Bongo, huku miyeyusho tu, utawakiwa na jua mpaka ushangae. Kama nchini China wanaruhusu kuendelea kuwepo huko baki tu utafute pesa, fanya maisha yako,” amesisitiza.


Unakubaliana na ushauri wa Berther?


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments