Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Ngoma Mpya ya Diamond Platnumz Haina Jambo, Ina Mchanganyiko wa Babalao, Yope Remix na Ngoma zake Nyingine Zilizopita

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


NACHEZAJE ni ngoma kawaida sana 

Kwa kipindi kirefu Diamond Tumemuamini sana na ndio anapeperusha bendera Ya Tanzania lakini kwa style hii bora Tumnyang'anye bendera tumpe hata @gigy_money_og 

Haiwezekani Star mkubwa kama huyu anatoa ngoma ya kawaida, yani hata Mabantu kwasasa wanamshinda, yani ngoma inamchanganyiko wa Babalao, Yope remix na ngoma nyingine zilizopita, ubunifu zero, material yameisha kabisa. 

Kiki kibao harafu ngoma Mbovuuuuu! Kwa style hii naona kabisa ipo siku @harmonize_tz  atampindua Diamond.

Hii Audio tumepigwa labda tusubiri video, maana kwenye video huwa hatuangushi.

Baadhi ya Comments za Wadau wake Kutoka Youtube Kwenye Wimbo Huo:


Simba mbna skuelewi bro sasa naanza kuona TEMBO KAMA ATAANZA KUTAWALA MSITU

Hapa tunepigwa na kitu kizto hakuna nyimbo kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hakuna nyimbo mondi umeishiwa wewe waaachie harmo na kiba na maroooooooooooooooooo....................

Kwani harmo alisepa n kitin ch nyimbo maan umepururaaaaaaa

Rev. Tuntufye Mwenisongole
Wimbo mbovuu melody ya baba lao uf..ala tu

By @hopetygatz U

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments