Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Ligi ya Uingereza EPL Kusimamishwa Kisa Mafua..Klopp Apinga

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKufuatia kuahirishwa kwa mechi kadhaa za Premier League inaelezwa kuwa kuna uwezekano wa ligi hiyo kusimamishwa kwa muda kutokana na janga la Covid -19.

Baadhi ya klabu ikiwemo Manchester United zimeshambuliwa na ugonjwa huo kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wake, kiasi cha kuifunga kambi kwa muda.

Nusu ya mechi za wikiendi hii zimeahirishwa kutokana na janga hilo.

Licha ya taarifa hizo Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp na Mwenyekiti wa Crystal Palace, Steve Parish wanaamini haijafika levo ya kusitisha ligi kwa muda.

Offer ya X Mass Tangaza Biashara yako yoyote Kwenye Blog Hii kwa Sh 10,000 tu

Piga simu 0714604974 kwa Maelezo zaidi

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments