Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwanamuziki wa Kenya Otile Brown Asifia Uwezo wa Harmonize

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


OB' @otilebrown mwanamuzi kutoka +254 Kenya amesifia uwezo wa mwanamuziki mwenzake kutoka Tanzania @harmonize_tz katika verse ya wimbo wao wa pamoja waliofanya kwa mara ya kwanza.

Otile ametumia insta story yake kuelezea hilo, ambapo amemuelezea Harmonize kufanya vizuri katika ngoma hiyo (akimtaja kama mbishi) huku akieleza kujiskia fahari kwa mashabiki wa tanzania na kenya ambao watakua tayari kusikia kazi hiyo.

Hivi karibuni @harmonize_tz akiwa nchini Kenya katika ziara yake ya kimuziki alitangaza wazi kuja na Extended Playlist 'EP' itakayo kuwa na nyimbo 5 za pamoja kati yake na msanii huyo mkali kutoka Kenya.

C©✍🏾@keviiiy.iam


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments