FAHAMU:Je unajua maisha Ndugai baada ya kujiuzulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


#FAHAMU:Je unajua maisha Ndugai baada ya kujiuzulu;

1.Atakuwa akilipwa 80% ya mshahara wa spika aliyepo bungeni maisha yake yote.

2.Gari Jipya VX V8 litakuwa lake binafsi

3.Dereva atakayelipwa na Serikali kwa maisha yake yote

4.Mafuta ya gari Lita 70 kila wiki

5.Kiinua mgongo 50% ya fedha aliyowahi kulipwa mshahara alipokuwa spika

6.Bado atakuwa na maslahi ya ubunge mpaka wana kongwa watakapomchoka.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad