Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Hamisa Mobetto Wakimbiza Kwa Followers

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wasanii nyota nchini Diamond Platnumz (mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo na mfanyabiashara), Wema Sepetu (mwanamitindo, mjasiriamali na muigizaji) pamoja na Hamisa Mobetto (mwanamuziki, mjasiriamali na mwanamitindo) ndiyo wasanii wanaokimbiza kwa kuwa na wafuasi wengi katika mtandao wa Instagram.

Imekuwa ni kawaida kwa wasanii wengi kutambiana namba kubwa za mashabiki zao katika mitandao ya kijamii kwani hio inaonyesha ukubwa wao na jinsi wanavyofuatiliwa zaidi kukiko wengine.

Kibongobongo Instagram ni mtandao ambao una nguvu zaidi na watu wengi wanautumia.

Nyota hao watatu wanakimbiza kwa kuwa na wafuasi wengi zaidi Diamond akikamata nafasi namba moja kwa kuwa na wafuasi milioni 13.9, Wema Sepetu akikamata nafasi ya pili akiwa na wafuasi milioni 9.3 huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Hamisa Mobetto akiwa na wafuasi milioni 9.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad