Masoud Kipanya Afunguka Ishu ya Kuoa MKE wa Nne "Sipendi Kuweka Maisha Yangu Public"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


@barbarahassanm leo katika mengi ambayo ameyaongea kuhusu mtindo wa maisha ya @masoudkipanya tuondoke na hili jina ambalo leo ameamua kumbatiza la ‘King Solomon’

“Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa"

"Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa ila kuna mwingine akifuata dini inavyotaka inakuwa shida” @masoudkipanya


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad