Ali Kiba Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Mkewe Kuomba Talaka "Usinisahau"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutoka ukurasa rasmi wa mwanamuziki @officialalikiba ameondoka kwa mara ya kwanza tangu kuripotiwa kwa ndoa yake na mke wake Amina Khalef raia wa kenya kufika mahakamani kwaajili ya
kesi ya kuomba talaka.

Kiba ameandika ujumbe unao ashiria huzuni kufuatia ndoa yake hiyo iliyodumu kwa miaka mitatu kuelekea ukingoni, huku akimtaki kheri mtoto wake @keyaanalikiba katika kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa ,akimalizia kwa kuandika;

“Happy Birthday Son ,Nakupenda Sana Usinisahau”


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad