Alshabaab Wavamia Vituo vya Polisi na Kuua Watu Watatu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


SOMALIA: Televisheni ya Taifa imeripoti Wanamgambo wa Al-Shabaab kuvamia vituo viwili vya Polisi Mjini #Mogadishu na kusababisha vifo vya Watu watano na majeruhi 16

Shambulio hilo limetokea leo, Februari 16 ambapo Waziri wa Usalama wa Ndani, Abdullah Nor amesema Vikosi vya Usalama vimewashinda Wanamgambo hao

Aidha, wiki iliyopita Watu sita walifariki na wengine kujeruhiwa baada ya Mtu mmoja kujitoa muhanga ndani ya Basi lililokuwa na Wajumbe walioshiriki katika uchaguzi wa Bunge unaoendelea Nchini humo

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad