Kuna Watu Duniani Hawana Utu, Utampigiliaje Binadamu Mwenzako Misumari Kama Yeah Alivyosulubishwa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mshtuko! Polisi nchini Kenya wanamsaka kijana mmoja aliyempa adhabu kali mwenzake kwa kumpigilia misumari katika mikono kwenye mti kwa madai ya kuiba redio.


Collins Sambaya mwenye umri wa miaka 19 alikutwa mikono yake miwili ikiwa imepigiliwa kwenye mti kwa misumari ya kuezeka paa

Sambaya aliokolewa na wananchi kwa kutumia mashine ya kukata miti huku mshukiwa akikimbilia mafichoni alipowaona polisi wakifika eneo la tukio.

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Chemasili, Sabatia kaunti ya Vihiga.


Polisi Nchini Kenya wamesema wapo kwenye msako mkali wa kumsaka mhusika wa tukio hilo ili kumfikisha katika vyombo vya sheria
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad