John Bocco Awatuliza Wanasimba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





JOHN Bocco, Nahodha wa Simba, amesema hawatawaangusha Watanzania kwenye mashindano ya kimataifa
kwa kuwa wapo vizuri na watapambana bila kuchoka.


Simba ikiwa Kundi D la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, leo Jumapili inatarajiwa kutupa kete yake ya
pili mbele ya US Gendarmerie, mechi ikichezwa nchini Niger.



Akizungumza na Spoti Xtra, Bocco alisema: “Kwa upande wa ushindi hata wachezaji pia tunapenda na furaha yetu kuona inakuwa hivyo, tutapambana kufanya vizuri, hatutawaangusha Watanzania, kikubwa wao watuombee.” Katika mchezo dhidi ya ASEC Mimosas, Bocco alitoa pasi moja ya bao kwenye ushindi wa 3-1.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad