Makubwa...Kardinali Aomba Kanisa Katoliki Kuruhusu Ndoa Kwa Mapadri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kadinali wa Ujerumani, Askofu Reinhard Marx ametoa rai kwa Kanisa Katoliki kuondoa kigezo cha Useja kwa Mapadri wa Kanisa hilo na waruhusiwe kuoa ikiwa wanapenda kufanya hivyo

Aidha, amekitaja kigezo cha Useja kuwa hatari lakini hawezi kukihusisha moja kwa moja na visa vya Unyanyasaji wa Kijinsia vinavyofanywa na Mapadri kwa Watoto na Waumini ambavyo vimetikisa Kanisa Katoliki Duniani kote

Ripoti iliyotolewa hivi karibuni ilimtuhumu Papa Benedict XVI na Marx mwenyewe kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya wahusika wa Unyanyasaji


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad