Mke wa Prof Jay: Tumeruhusu Asaidiwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



IKIWA ni wiki tatu sasa tangu rapa maarufu na nguli wa Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ alazwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akipatiwa matibabu kutokana na maradhiu yanayomsumbua, familia yake imesema imeruhusu asaidie na marafiki zake na watu wenye mapenzi mema ili kuokoa maisha yake.

Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, mke wa Prof Jay, Grace Mgonjo, amesema; “Mwanzoni wakati tunaanza kuuguza hatukutarajia kwamba tutafika huku, tulikuwa tunajua ni kitu cha muda mfupi atakuwa amepona, na mwisho wa siku huyu ni Mtu wa Watu kila saa simu na meseji hazikatiki, tukaona why not tusiruhusu wamsaidie”

“Tulianza na Wizara ya Afya kupitia Waziri Ummy Mwalimu ambaye aliweza kuwasiliana nasi kama Familia kupitia Naibu Waziri wake, Hospitali ya Muhimbili tunawashukuru kwa huduma.

“Pia wako baadhi ya Wabunge pamoja na Viongozi wote wa CHADEMA na baadhi ya Viongozi wa CCM wanatupigia simu kujua hali ya kiafya ya Joseph Haule.


 
“Namba ambazo unaweza kutuma chochote kusaidia matibabu ya Prof. Jay ni MPESA: 0757919192 Joseph Haule, TigoPesa: 0715919192 Joseph Haule, CRDB account no: 0112044845200 Joseph Leonard Haule, Michango yote itapokelewa na familia,” amesema Bi. Grace.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad