Tundu Lissu "Nahitaji Kurudi Nyumbani Nimemuomba RAISI Anikaribishe na Kujitoa Wasiwasi Nitakuwa Salama"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Nimemuambia Rais Samia nahitaji kurudi nyumbani na kwasababu ya mazingira niliyoondokea nyumbami nimemuomba yeye kama Rais atoe kauli ya kunikaribisha nyumbani na kunitoa wasiwasi kwamba nikirudi nyumbani nitakuwa salama na Mh. Rais amesema hilo atalifanyia kazi"

"Rais Samia amekubali pia kuhakikisha napata hati ya kusafiria kwasababu passport yangu iliibiwa mwezi uliopita nikiwa Ujerumani"

"Nimeongea na Rais Samia kwa niaba ya Lema na Wenje ambao nao wapo uhamishoni Canada na nimemuambia kama ilivyo kwangu hawa nao walikimbia Nchi kwasababu ya vitisho dhidi ya maisha yao na nimemuomba atuhakikishie usalama wetu na atupe uhakika kwamba hivi vitisho havitokuwepo na Rais amesema atalifanyia kazi" Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad