Habari Kuhusu Prof Jay ni Uongo zipuuzeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kumekuwa na taarifa zisizo rasmi zinazosambazwa kwenye Mitandao ya Kijamii kuhusu aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Mhe Joseph Haule ambaye pia ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya @ProfessorJayTZ! Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mbunge wa zamani Tarime Mjini John Heche ambaye pia ni rafiki yake wa karibu ameelekeza taarifa hizo ZIPUUZWE

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Heche ameandika “Habari kuhusu Prof Jay ni uongo zipuuzeni”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad